Papa Francisko: Sala kwa ajili ya kuombea maskini duniani!

09/11/2019 Papa Francisko kabla ya Ibada ya Misa Takatifu Siku kuu ya Kutabarukiwa kwa Kanisa Kuu la Mtakatifu Yohane wa Laterano, Jimboni Roma, alipata nafasi ya kushiriki sala na wajumbe wa Mkondo wa “ATD Quarto Mondo” ulioanzishwa na Mtumishi wa Mungu Padre Joseph Wresinski (1917-1988) mbele jiwe la msingi kwa ajili ya kuwakumbuka... Read more

Wito wa kuchukua hatua

All Together in Dignity  .............. Wito wa kuchukua hatua Shirika la Kimataifa atd Dunia ya nne pamoja na Kamati ya Kimataifa ya Oktoba 17, tunakukaribisha kujiunga nasi kutoa ahadi katika kuunga mkono mwito huu wa kuchukua hatua : Katika kipindi cha changamoto zisizotarajiwa, zinazohitaji utekeleazaji wa pamoja hatukubali kupoteza... Read more

Ninatoa ushuhuda kwenu

“Ninatoa ushuhuda kwenu” uliosomwa kwa mara ya kwanza wakati wa maadhimisho ya kwanza tarehe 17 Oktoba 1987. Ninatoa ushuhuda kwenu Ninyi mamilioni kwa mamilioni ya watoto, akina mama kwa akina baba waliofariki kwa ufukara na njaa, tuliowarithi. Ninyi mliokuwa hai, Siyo kifo chenu ninachokitambulisha leo Kwenye Uwanja huu wa Fadhila,... Read more

Commemorative stone

Siku ya tarehe 17 Oktoba 1987, kwa kuitikia mwito wa Joseph Wresinski, idadi ya watu 100,000 ambao ni watetezi wa haki za binadamu, walikusanyika pamoja katika jijini Paris (Ufaransa) kuonesha jinsi watakavyoukataa umaskini uliokithiri, kwa kuwataka wanadamu wote kujiunga pamoja na kuhakikisha kwamba haki za binadamu zinaheshimika. ATD Fourth... Read more