http://overcomingpoverty.org/rubrique/languages?language=sw en Papa Francisko: Sala kwa ajili ya kuombea maskini duniani! http://overcomingpoverty.org/node/8403

09/11/2019

Papa Francisko kabla ya Ibada ya Misa Takatifu Siku kuu ya Kutabarukiwa kwa Kanisa Kuu la Mtakatifu Yohane wa Laterano, Jimboni Roma, alipata nafasi ya kushiriki sala na wajumbe wa Mkondo wa “ATD Quarto Mondo” ulioanzishwa na Mtumishi wa Mungu Padre Joseph Wresinski (1917-1988) mbele jiwe la msingi kwa ajili ya kuwakumbuka waathirika wa umaskini sehemu mbali mbali za dunia.

read more
Comité International 17 octobre October 17 Wed, 13 Nov 2019 11:28:31 +0000 Anne-Sylvie (France) 8403 at http://overcomingpoverty.org Wito wa kuchukua hatua http://overcomingpoverty.org/node/6119

All Together in Dignity  .............. Wito wa kuchukua hatua

Shirika la Kimataifa atd Dunia ya nne pamoja na Kamati ya Kimataifa ya Oktoba 17, tunakukaribisha kujiunga nasi kutoa ahadi katika kuunga mkono mwito huu wa kuchukua hatua :

read more
STEP Up and Sign! Wed, 15 Mar 2017 11:01:55 +0000 Anne-Sylvie (France) 6119 at http://overcomingpoverty.org Ninatoa ushuhuda kwenu http://overcomingpoverty.org/node/2199

“Ninatoa ushuhuda kwenu” uliosomwa kwa mara ya kwanza wakati wa maadhimisho ya kwanza tarehe 17 Oktoba 1987.

Ninatoa ushuhuda kwenu

Ninyi mamilioni kwa mamilioni ya watoto, akina mama kwa akina baba waliofariki kwa ufukara na njaa, tuliowarithi.

Ninyi mliokuwa hai, Siyo kifo chenu ninachokitambulisha leo Kwenye Uwanja huu wa Fadhila, Wa Haki za binadamu na Raia Bali ni maisha yenu ninayoyashuhudia.

Nawashuhudia ninyi, akina mama Mnaoona watoto wenu wanahukumiwa Kuishi katika ufukara, Wakawa kama mali ya ziada duniani humu.

read more
Mobilisation Tools Thu, 18 Jul 2013 13:35:20 +0000 Benoit (France) 2199 at http://overcomingpoverty.org Commemorative stone http://overcomingpoverty.org/node/2198

Siku ya tarehe 17 Oktoba 1987, kwa kuitikia mwito wa Joseph Wresinski, idadi ya watu 100,000 ambao ni watetezi wa haki za binadamu, walikusanyika pamoja katika jijini Paris (Ufaransa) kuonesha jinsi watakavyoukataa umaskini uliokithiri, kwa kuwataka wanadamu wote kujiunga pamoja na kuhakikisha kwamba haki za binadamu zinaheshimika.

ATD Fourth World

read more
History and Documents October 17 Commemorative stone Thu, 18 Jul 2013 13:02:24 +0000 Benoit (France) 2198 at http://overcomingpoverty.org